• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kondoa Mji Wapongezwa ujenzi wa Zahanati kwa mapato ya ndani

Tarehe iliyowekwa: September 12th, 2024

Wataalam kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Fedha wameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Mji Kondoa kwa kujenga Zahanati ya Mtaa wa Ausia kwa kutumia mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 72.

Pongeze hizo wamezitoa mbele kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa na wajumbe wa menejimenti walioongozana nao wakati wa ziara ya kufanya ufuatiliaji na tathmini katika sehemu za kutolea huduma za afya.

"Kwa kweli Kondoa Mji mmefanya jambo zuri sana na la kuigwa hongera Mkurugenzi kutumia mapato ya ndani na kujenga zahanati kama hii ni jambo kubwa na tunaona wananchi wanapata tiba hapa hivyo ndivyo inavyotakiwa"amesema Ndg. Jane Shitindi mchumi kutoka OR TAMISEMI

Aidha amesema anatamani Halmashauri zingine ziige mfano huo ili kuwasogezea huduma muhimu ya afya wananchi katika maeneo yao na kuwashauri watendaji wa mitaa na kata kuwahamasisha wananchi kujitoa katika kuchangia nguvu wakati wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

"Sisi tumekuja kufanya ufuatiliaji na tathmini ya fedha zilizotolewa na serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa afya na ununuzi wa vifaa tiba ili kuona iwapo majengo yamekamilika na kutoa huduma iliyokusudiwa na vifaa tiba na kama vinatumika na kama havitumiki tujue sababu na kuitatua ili huduma iliyokusudiwa itimie"amesema Mchumi Jane

Akiongea kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa Ndg. Said Majaliwa amewashukuru wataalam waliofika katika vituo vyote vinavyotoa huduma za afya na kujionea hali halisi ni matumani yake kuwa ziara hiyo itasaidia kutatua changamoto walizoziona kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Kondoa Mji.

Aidha ameongeza kwa kuahidi kuendelea kusimamia fedha zinazoletwa na serikali kwa ajili ya utekelezaji wa huduma za afya ili kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati na thamani ya fedha inaonekana.

Kwa upande wake mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Kondoa ameomba serikali isaidie fedha za ujenzi wa uzio wa hospitali ili kuweka mazingira ya hospitali katika mazingira ya usalama.

Wataalam hao ni Jane Shitindi mchumi OR TAMISEMI, Endrew Komba Afisa Bajeti na Edward Magelewanya Mfamasia Ofisi ya Mkuu wa mkoa wamepitia vituo vya kutolea huduma vilivyopata fedha kutoka serikali kuu ambapo pia waliongozana na baadhi ya wajumbe wa Menejimenti.





Matangazo

  • Majina ya walioitwa kwenye usaili Kondoa Mji June 13, 2025
  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Chuo Kikuu Mzumbe watoa elimu sheria za mazingira kwa Watendaji Kondoa Mji

    June 13, 2025
  • Kondoa Mji wapongezwa kupata hati safi kwa mwaka 2023/2024

    June 10, 2025
  • "Sintamzibia ruhusa mtumishi anayetaka kwenda masomoni"- Mkurugenzi Majaliwa

    June 01, 2025
  • SHULE BORA yawapatia mafunzo ya tathmini Walimu 66 wa Kondoa Mji

    May 26, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa