• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Divisheni
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
      • Divisheni
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Miundombinu Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Viwanda Bishara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Usimamizi na Utawala wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugi na Uvuvi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TARURA Kondoa Mji Hawajaridhishwa na Barabara ya Kondoa Bolisa

Tarehe iliyowekwa: May 2nd, 2019

Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) Kondoa Mji haijaridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa barabara ya Kondoa Bolisa unaotekelezwa na Mkandarasi Gona Company Limited.

Hayo yamesemwa na Meneja wa TARURA Kondoa Mji Mhandisi Bryton Kimaro wakati wa kikao cha Baraza la Waheshimiwa madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo Cha Uuguzi na Ukunga Kondoa Mjini hivi karibuni.

Alisema kuwa wao kama wasimamizi hawajaridhishwa na kazi zinavyofanyika na wameshamwandikia mkandarasi kwa ajili ya kumkata fedha kila siku kwa muda wa siku mia moja na baada ya hapo taratibu zingine za kisheria zitachukuliwa.

“Alipaswa kumaliza kazi toka mwanzoni mwa mwezi Aprili hadi leo hii bado na tunategemea akamilishe kazi yake baada ya wiki mbili na amefanya maafikiano na tunayasimamia hayo.” Alieleza Mhandisi Bryton

Aliongeza kuwa barabara ya Kondoa Bolisa ni kubwa na mkandarasi huyo hatatatua tatizo lote kutokana na kibali kilichotoka ambapo mkandarasi huyo atajenga makalvati katika maeneo korofi na kufanya kazi zingine za kitaalamu ili kuhakikisha kuwa maji hayakatizi barabarani.

“Kama ofisi tumeona ili barabara ikamilike yote tumeandika andiko na kuliwasilisha makao makuu ambapo wanalifanyia kazi na tunaamini barabara ya Kondoa Bolisa ni kiungo muhimu kwa barabara ya kwenda Babati.”Alifafanua Mhandisi Bryton

Hata hivyo aliongeza kuwa serikali ina lengo la kuimarisha barabara zote ndani ya Kondoa Mji kulingana na upatikanaji wa fedha ila kwasasa bajeti bado finyu na wana imani itaboreshwa kadri siku zinavyosogea ikiwemo barabara ya Serya Mongoroma ambayo ilikwishafanyiwa matengenezo miaka ya nyuma.

Kikao cha Baraza la Waheshimiwa madiwani kimefanyika kwa ajili ya kujadili taarifa za utekelezaji kwa robo ya tatu kwa mwaka wa fedha  2018/2019.

Matangazo

  • Tangazo la mikopo inayotolewa kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu February 21, 2025
  • Matokeo ya kidato cha nne 2024 shule za Sekondari Kondoa Mji January 23, 2025
  • Tangazo la kushiriki mazoezi ya kila Jumamosi ya pili kila mwezi January 02, 2025
  • Tangazo la umilikishwaji viwanja January 02, 2025
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari la awali ngazi ya kata yatolewa kwa Watendaji Kondoa Mji

    May 14, 2025
  • RC, RAS, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi Dodoma ziarani Mufindi kujifunza kilimo cha Tufaa (Apple)

    May 11, 2025
  • Mkurugenzi Majaliwa aagiza miradi kukamilika ifikapo Mei 31

    May 08, 2025
  • ALAT mkoa wa Dodoma yatembelea miradi ya maendeleo Kondoa Mji

    May 03, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Matukio ya Mwenge wa Uhuru Kondoa Mji 2025
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa