• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Wafanyakazi |
    • Malalamiko |
Kondoa Town Council
Kondoa Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Kondoa

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Mipango ,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu sekondari
      • Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
      • Idara ya Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Teknolojia,Habari,Mawasiliano na uhusiano
      • Kitengo cha Manunuzi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Ustawi wa Jamii
    • Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi,Afya na Elimu
      • UKIMWI
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
    • Majarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa Kwa Umma
    • Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kitengo cha Manunuzi

Kitengo cha Manunuzi Katika Halmashauri ya Mji Kondoa kilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Manunuzi Na. 07 ya mwaka 2011 kifungu cha 37.

Kitengo cha Manunuzi katika Halmashauri ya Mji Kondoa kina Maafisa Ugavi 2

1.Emmanuel Sulo - MKuu wa Kitengo

2.Shaban Sued Kagasheki - Afisa Manunuzi

Mfumo wa mawasiliano kwa mujibu wa sheria ni kuripoti moja kwa moja kwa Mkurugenzi, pia kitengo kina bajeti inayojitegemea ili kutekeleza majukumu yake.

Majukumu ya Kitengo cha Manunuzi.

Kusimamia majukumu yote ya Manunuzi na Kuuza Mali za Halmashauri ya Mji Kondoa .

Kusaidia kazi za Bodi ya zabuni.

Kutekeleza Maamuzi ya Bodi ya Zabuni.

Kuandaa Mpango wa manunuzi wa Halmashauri na uuzaji wa Mali za Halmashauri ya Mji.

Kushauri Manunuzi ya H/M na uuzaji wa Mali za Halmashauri ya Mji.

Kuandaa orodha ya mahitaji ya Idara na Vitengo.

Kuandaa Makabrasha ya Zabuni.

Kuandaa Matangazo ya Zabuni na Fursa Mbalimbali.

Kuandaa Mikataba mbalimbali ya manunuzi.

Kutoa makabrasha ya mikataba ambayo imepitishwa na

Kutunza kumbukumbu mbalimbali za manunuzi na uuzaji wa mali za Halmashauri ya Mji.

Kuandaa orodha ya mikataba yote ambayo H/M imeingia na wazabuni.

Kuandaa taarifa za mwezi, robo na mwaka za Bodi ya zabuni ya Halmashauri ya Mji.

Kuandaa Taarifa za Robo na kuwasilishwa katika vikao vya Kamati ya Fedha Mipango na Utawala.

Kuratibu manunuzi na uuzaji mali za Halmashauri ya Mji.

Kuandaa Taarifa nyingine mbalimbali kadri zinavyohitajika na Mamlaka.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili nafasi ya Katibu Muhtasi na Madereva Halmashauri ya Mji Kondoa February 24, 2023
  • Matokeo ya Kidato cha nne Shule za Halmashauri ya Mji Kondoa January 29, 2023
  • Waliochaguliwa na shule walizopangiwa kidato cha kwanza 2023 Kondoa Mji December 14, 2022
  • Tangazo la kazi December 07, 2022
  • Tazama Vyote

Habari Mpya

  • Wadau wa huduma ndogo za kifedha Kondoa Mji wapatiwa mafunzo

    May 26, 2023
  • Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ardhi watembelea la akiba Mkungunero

    May 18, 2023
  • LIHOGOSA MICRO-CREDIT CO. LTD Kondoa wapewa siku tatu kuboresha huduma zao

    May 16, 2023
  • RAS Gugu ahimiza upendo na ushirikiano sehemu ya kazi

    May 03, 2023
  • Tazama Vyote

Video

Fursa za uwekezaji Kondoa Mji
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Mpango Mkakati
  • Maktaba ya Picha
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Sheria ndogo
  • Ripoti Mbalimbali
  • Fomu Mbalimbali
  • Miradi Inayoendelea

Tovuti Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    Mtaa wa Kwapakacha

    Anuani ya Posta: S.L.P 711

    Simu ya Mezani: +255 712264912

    Simu ya Mkononi: +255 712264912

    Barua Pepe: td@kondoatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Kondoa - Haki Zote Zimehifadhiwa